Nina shida na ALU kwa bei ya jumla

Nina shida na ALU kwa bei ya jumla

. Mkuu, umeshindwa kabisa kupata kwenye community pharmacy zilizo karibu

. Kabla mtu hajakupigia, ungesema Alu ya mg ngapi - 120/20 au 480/80
Amesha sema za watu wazima (walioko kwenye hiyo fani wamesha muelewa)
kama unahitaji maelezo zaidi ungewasiliana naye moja kwa moja
 
Amesha sema za watu wazima (walioko kwenye hiyo fani wamesha muelewa)
kama unahitaji maelezo zaidi ungewasiliana naye moja kwa moja
Wapi nimeandika dawa za mtoto hapo?? 🤔🤔.. Acha kukurupuka
 
Back
Top Bottom