MEGATRONE JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 1,140 Reaction score 2,141 Jun 2, 2024 #1 Nahitaji ALU za watu wazima kwa bei ya jumla! Mwenye nazo tuwasiliane 0687391885
geesten66 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2017 Posts 2,042 Reaction score 2,370 Jun 2, 2024 #2 ALU ndiyo nini mkuu.
Nyafwili JF-Expert Member Joined Nov 27, 2023 Posts 4,240 Reaction score 10,561 Jun 2, 2024 #3 . Mkuu, umeshindwa kabisa kupata kwenye community pharmacy zilizo karibu . Kabla mtu hajakupigia, ungesema Alu ya mg ngapi - 120/20 au 480/80
. Mkuu, umeshindwa kabisa kupata kwenye community pharmacy zilizo karibu . Kabla mtu hajakupigia, ungesema Alu ya mg ngapi - 120/20 au 480/80
Mtumishi wa Bwana89 JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 3,191 Reaction score 4,220 Jun 3, 2024 #4 Labda anataka ALU used
Mparee2 JF-Expert Member Joined Sep 2, 2012 Posts 3,092 Reaction score 5,386 Jun 4, 2024 #5 geesten66 said: ALU ndiyo nini mkuu. Click to expand... hizo ni dawa za malaria, nafikiri wanao husika wanaelewa
geesten66 said: ALU ndiyo nini mkuu. Click to expand... hizo ni dawa za malaria, nafikiri wanao husika wanaelewa
Mparee2 JF-Expert Member Joined Sep 2, 2012 Posts 3,092 Reaction score 5,386 Jun 4, 2024 #6 Nyafwili said: . Mkuu, umeshindwa kabisa kupata kwenye community pharmacy zilizo karibu . Kabla mtu hajakupigia, ungesema Alu ya mg ngapi - 120/20 au 480/80 Click to expand... Amesha sema za watu wazima (walioko kwenye hiyo fani wamesha muelewa) kama unahitaji maelezo zaidi ungewasiliana naye moja kwa moja
Nyafwili said: . Mkuu, umeshindwa kabisa kupata kwenye community pharmacy zilizo karibu . Kabla mtu hajakupigia, ungesema Alu ya mg ngapi - 120/20 au 480/80 Click to expand... Amesha sema za watu wazima (walioko kwenye hiyo fani wamesha muelewa) kama unahitaji maelezo zaidi ungewasiliana naye moja kwa moja
Nyafwili JF-Expert Member Joined Nov 27, 2023 Posts 4,240 Reaction score 10,561 Jun 4, 2024 #7 Mparee2 said: Amesha sema za watu wazima (walioko kwenye hiyo fani wamesha muelewa) kama unahitaji maelezo zaidi ungewasiliana naye moja kwa moja Click to expand... Wapi nimeandika dawa za mtoto hapo?? 🤔🤔.. Acha kukurupuka
Mparee2 said: Amesha sema za watu wazima (walioko kwenye hiyo fani wamesha muelewa) kama unahitaji maelezo zaidi ungewasiliana naye moja kwa moja Click to expand... Wapi nimeandika dawa za mtoto hapo?? 🤔🤔.. Acha kukurupuka
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Jun 4, 2024 #8 Wanakuja