Nina shida na laini ya safaricom, nipo Dodoma, Tanzania

Pweza Boy

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2017
Posts
1,395
Reaction score
3,177
Mtu yeyote anayeweza kunisaidia kupata Lain(Simcard) ya Safaricom, Napatikqna Dodoma, Tanzania.
 
Labda usafiri hadi Arusha, pale A-city huwa na undugu na Nairobi, kila chochote cha Kenya utakipata hapo.
 
Mtu yeyote anayeweza kunisaidia kupata Lain(Simcard) ya Safaricom, Napatikqna Dodoma, Tanzania.
Mkuu vipi uliipata?? hata Mimi naitafuta hii simcard Kama ulipata nisaidie uliipateje
 
Back
Top Bottom