Nina shida na laki moja au elfu 80 nikopesheni

Kama biashara imeyumpa utalipaje...

Anayekopesheka ni yule ambae biashara zake zimesimama...


Cc: mahondaw
 
Ningekusaidia ila sijapenda hapo ulipomsingizia Mheshimiwa...labda uondoe hapo ulipoandika "msimu wa Magufuli"
 
Daah nilijua upo serious ila nilivyokutana na hilo neno sijui jomon sijui jaman kumbe unatania
 
Kama upo serious nenda saccos yoyote kajiaminishe then kama watakupa huo mkopo au watakuchinjia baharini ni juu yao

Afu ulivyo-present hiyo mada yako ya kuomba mkopo umeileta kimasihara sana jaribu kuwa fucus mkuu.
 
Nenda kacheze biko mkuu nasikia kuna mshko. Nje nje
 
Humu wanasaidiwa sana wanawake so we ni jinsia gani?
 
Jomoni???????

Nyuma kama kuko salama basi muda si mrefu utabanduliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…