Nina shida na Mtumishi wa THPS (Tanzania Health Promotion Support)

Nina shida na Mtumishi wa THPS (Tanzania Health Promotion Support)

Mimi Ni HR wa HTPS na Nitakuwa kwenye mchujo wa hii kazi 👇🏾

Njoo PM nikusaidie kupata kazi. Mkono mtupu haulambwi.
 
Mimi Ni HR wa HTPS na Nitakuwa kwenye mchujo wa hii kazi 👇🏾

Njoo PM nikusaidie kupata kazi. Mkono mtupu haulambwi.
Ni kweli mkono mtupu haulambwi!Nitumie no zako pm mimi nashindwa kukutext inakataa mkuu
 
Kazi hizo zina konekisheni sana,wenzajo walishapigiwa simu kuanza kazi.
 
Thps wana mradi wa kupambana n ukimwi uko chini ya USAID, basically in prisons. Kama una CV nzuri wanakwita wale njoo inbox nikutumie lipa namba mm sin hela mpaka mda huu
 
Back
Top Bottom