Nina shida na Seven Mosha, nawezaje kumpata?

Nina shida na Seven Mosha, nawezaje kumpata?

Tajiri mpole

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2018
Posts
2,890
Reaction score
5,632
Tafadhali ninashida yakukutana na huyu Dada... It's all about business..
Mwenye kujua nitampataje ani PM, ama Dada Kama unapita humu Tafadhali nakusihi nahitaji kukuona kibiashara.

Ahsante...
 
seven ni moja ya warembo matata miaka ile ya mwanzoni mwa mwaka 2000.

Ndio maana haishangazi aliimbwa hadi na Mwana Fa katika nyimbo ya Mimi na Mabinti damudamu!!

Sijui yuwapi siku hizi?
Tupiamo picha basi
 
Tafadhali ninashida yakukutana na huyu Dada... It's all about business..
Mwenye kujua nitampataje ani PM, ama Dada Kama unapita humu Tafadhali nakusihi nahitaji kukuona kibiashara.

Ahsante...
Daaa huyu dada namkubali Sana..
Seven Mosha msikilize Tajiri mpole.
Tajiri mwenzio labda kunaneema
 
seven ni moja ya warembo matata miaka ile ya mwanzoni mwa mwaka 2000.

Ndio maana haishangazi aliimbwa hadi na Mwana Fa katika nyimbo ya Mimi na Mabinti damudamu!!

Sijui yuwapi siku hizi?
..
IMG_20180504_192156.JPG
 
alikuwa meneja wa gubu kiba100 sasa kiba kagonga hadi amemtupa aijulikan kama bado wanakokotana kama mikokoteni
 
Bora ufanye mchakato wa kujua Ofsini kwake ni wapi Inakua rahisi kukutana nae na kukusikiliza lakini mitandaoni utakesha Aisee!!
 
Back
Top Bottom