Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Kwani si hadi sasa au?Alikuwa meneja wa Kiba
Mmh mke wa Kiba anahitaji kuwa mvumilivu, toto la Kichagga hatariiKwani si hadi sasa au?
Mtumie DM kupitia kurasa zake za, Search SevenMoshaTafadhali ninashida yakukutana na huyu Dada... It's all about business..
But yule binti ni mtu wa kazi zaidi kwa hiyo Mke wa Kiba asiwe na wasiwasi. Maana kama ni kumchukua ingekuwa zamani tu...Mmh mke wa Kiba anahitaji kuwa mvumilivu, toto la Kichagga hatarii
Tupiamo picha basiseven ni moja ya warembo matata miaka ile ya mwanzoni mwa mwaka 2000.
Ndio maana haishangazi aliimbwa hadi na Mwana Fa katika nyimbo ya Mimi na Mabinti damudamu!!
Sijui yuwapi siku hizi?
Nadhani mpaka sasa... Ni bint mpambanaji.. Nadhani akili nyingi amebarikiwaAlikuwa meneja wa Kiba
Daaa huyu dada namkubali Sana..Tafadhali ninashida yakukutana na huyu Dada... It's all about business..
Mwenye kujua nitampataje ani PM, ama Dada Kama unapita humu Tafadhali nakusihi nahitaji kukuona kibiashara.
Ahsante...
Atakusikia tu. Ni mtu poa Sana.Ahsante Mkuu!!!
Nina project muhimu nahisi ni mtu husika kufanya nae.. Kama kweli ananisikia kwakweli nitashukuru.
Na lugha tamu kama Seven, najua mnawaita sistaduu...seven ni moja ya warembo matata miaka ile ya mwanzoni mwa mwaka 2000.
Ndio maana haishangazi aliimbwa hadi na Mwana Fa katika nyimbo ya Mimi na Mabinti damudamu!!
Sijui yuwapi siku hizi?
Umejaribu halafu ikawaje? Mbona kwa mfano ukurasa wake wa Insta uko ''wazi'' kwa yoyote kuutembelea? Seven (@sevenmosha) • Instagram photos and videosNimejaribu huko mkuu... Ndio nimekuja nahuku
..seven ni moja ya warembo matata miaka ile ya mwanzoni mwa mwaka 2000.
Ndio maana haishangazi aliimbwa hadi na Mwana Fa katika nyimbo ya Mimi na Mabinti damudamu!!
Sijui yuwapi siku hizi?
mpaka sasaAlikuwa meneja wa Kiba
dharau iziNdio mwimba kwaya wa dhehebu gani huyo?
Mbona wabaya sasa