Unashida na TetemeshaKidbwoy. yaani ni kitu kimoja TetemeshaKidbwoy, ngumu kueleweka ndio maana unakosa msaada, Unashida na Tetemesha ilipo yaani Studio au Kidbwoy producer,Aman iwe juu yenu
Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu
Nina shida sana na huyu ninja mtu mpambanaji sana kidbwoy
Je office yake iko wapi hapa mwanza
Na huwa anapenda kukaa wapi na nimejaribu sana kumtafuta lakin nagonga mwamba
Naomba kuelekezwa oficine kwake Nina shida Naye sana tena zaid ya sana
ASANTEN SANA
LONDON BOY
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina shida nayeye binafisUnashida na TetemeshaKidbwoy. yaani ni kitu kimoja TetemeshaKidbwoy, ngumu kueleweka ndio maana unakosa msaada, Unashida na Tetemesha ilipo yaani Studio au Kidbwoy producer,
Kwakukusaidia, Kwa sasa jamaa haishi Mwanza yuko Dar, kwahiyo funga safari uende Dar, Ila mtafute kwenye mitandao ya kijamii sana sana IG unaweza wasiliana nae, japo jamaa sio mtu wa hayo mambo yenu kwa sana