Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,901
- 3,941
Husika na kichwa cha Habari hapo juu.
Natafuta mkopo wa haraka haraka, natafuta kiasi cha laki na Nusu tu nitarejesha baada ya wiki mbili.
Tafadhali naomba kusaidiwa.
Yesu Anaponya.
Mtaani wote wanasema hawana hela.Mkuu si ungetafuta njia nyingine hapo mtaani kupata huo mkopo.
Maana mtandaoni utawaacha midomo wazi kwanini hujaanza mtaani
Ondoa hofu mkuu we nisaidie tu, kikubwa waminifu nitakurudishia tu mkuu.Mimi ningekuwa tayari kukukopesha mkuu lakini upo mbali na nilipo, na hakuna hata msela huko ninae mfahamu angalau nkamtumia huyo. Na pia ki ukweli dunia imebadilika matapeli wengi. Haya ni mazingira (kupotea kwa uaminifu) ambayo tumeyatengeneza kwa mikono yetu, so inabidi tu tukabiliane na outcomes zake. Pole mkuu, natamani nikusaidie lakini nahofia
Pakua app ya tala tanzania hautajutaHusika na kichwa cha Habari hapo juu,
Natafuta mkopo wa haraka haraka, natafuta kiasi cha laki na nusu tu nitarejesha baada ya wiki mbili.
Tafadhali naomba kusaidiwa.
Yesu Anaponya.
Vigezo vyao ni vipi mkuu?Pakua app ya tala tanzania hautajuta
kama umeshindwa kupata mtaani kwako wanakokufahamu humu ndani unatuletea fumbo kubwa mkuuKiwanja
Yesu Anaponya.
Mkuu si ungetafuta njia nyingine hapo mtaani kupata huo mkopo.
Maana mtandaoni utawaacha midomo wazi kwanini hujaanza mtaani
ukikopeshwa utarejesha sh ngapi? ribaHusika na kichwa cha Habari hapo juu,
Natafuta mkopo wa haraka haraka, natafuta kiasi cha laki na nusu tu nitarejesha baada ya wiki mbili.
Tafadhali naomba kusaidiwa.
Yesu Anaponya.
Imebidi akimbilie huku katika kijiji wananchi wake wamejificha nyuma ya keyboard.Vyuma vimekaza kila mahali.
Imebidi akimbilie huku katika kijiji wananchi wake wamejificha nyuma ya keyboard.