Nina shida ya kuchelewa kufika kileleni na pia kutoa shahawa chache na kushindwa kurudia tendo

Huku jf kesi za nguvu za kiume ni nyingi Mara punyeto, vibamia mi nahisi serikal ifanye jambo
 
Ushauri wangu achana na unywaji wa vinywaji kama chai au kahawa yenye caffeine Badala yake mwambie mama watoto akyandalie chai yenye viungo vya asili vya chakula kama vile Tangawizi (zipo zilizosagwa) kitunguu swaumu, unga wa haradali, pilipili manga, mdalasini, sweet basil, coriander na kungumanga hivi vyote ukienda au akienda sokoni anavipata kwa urahisi Mwambie achanganye uwe unapata chai angalau Mara 2 kwa siku asubuhi na jioni,lakini pia unaweza kuandaa juisi ya tende na maziwa pia ni nzuri mwambie wifi ajitahidi kukupikia vyakula vya asili kama muhogo wa makopa na samaki wa kuchemsha n.k na kama unavuta sigara punguza au acha kabisa na kama wanywa pombe pia punguza ikibidi acha kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…