Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,825
mkuu nachelea kusema kwamba umenielewa vibaya, na wala sipo hapa kwa ajili ya kujisifu maana ni upuuzi kujisifu with anonymous id, nani anayenijua hapa jf?? Mkuu wewe hujui lakini mwenzako kila siku najiuliza sababu ni nini, may be hayajakukuta ndo maana unaona nimekuja kujisifu.
Bora hata angekuwa anatafuta msichana tungemsamehe, nilichoona mimi ni kwamba ameamua kujitangaza! Handsome, mil2 mpaka 3 bank inahuu? Ngoja niwasiliane na mods kama vipi alipie hilo tangazo lake!..Kwa kifupi watafuta msichana humu JF!
Au nimekosea mkuu
hakuna hata binti unayeona ana kidalili cha kumind swaga zako? Au unawafungia vioo?
Ngoja nikusaidie, mimi kama mwanamke:in short sina kawaida ya kutafuta wasichana sehem za namna hii, nimekuja ku-shere hapa mmu nikijua huenda kuna mtu ashawai kutana na ishu kama yangu, what if kama kuna kitu nakosea??
naona chalii unajua sana. Haya iyo itakuwa gundu tuu umetupiwa na jiran yako pale ulipokuwa unaishi alipoolewa dada yako.(hizo ni taaarifa za kiintelejensia nilizopata soon) tiba yake inabidi unywe supu ya mbwa kutwa mara tatu na ujifunge hirizi kubwa kiunoni wakati wa kujamiiana na huyo utakayempata.
Vipi husni weye hujavutiwa na mil 2, 3 bank?hakuna hata binti unayeona ana kidalili cha kumind swaga zako? Au unawafungia vioo?
Vile ushasema una sifa zote, endelea kusubiri watakutongoza siku sio nyingi...Dah, kuna wawili ila sio type yangu kabisa, mmoja ni mke wa mtu, na mwingine hajaolewa ila ana mtoto. Kwa kifupi kuna gap kubwa kati ya wasichana niliokuwa nao enzi zile na ninaokutana nao this time. Na kazi ninayofanya inanifanya niwe mbali sana na wasichana wazuri wa rika langu.
Vipi husni weye hujavutiwa na mil 2, 3 bank?
vile ushasema una sifa zote, endelea kusubiri watakutongoza siku sio nyingi...
duh, yamekuwa haya...
Taratibu bro tusirushiane mate!.. Umekuja jf kujitangaza unash ngapi bank ili iweje?... In short Unasumbuliwa na sifa tena za kijinga....kuwa mstaarabu, kama huna la kunisaidia kaa kimya, najua ni dharau imekujaa coz nimesema 2, 3. But to me thats enough. hizo 10,20 ni za kwako, naona umeng'ang'aniiiiiiiiia.
Vipi husni weye hujavutiwa na mil 2, 3 bank?
Dah, kuna wawili ila sio type yangu kabisa, mmoja ni mke wa mtu, na mwingine hajaolewa ila ana mtoto. Kwa kifupi kuna gap kubwa kati ya wasichana niliokuwa nao enzi zile na ninaokutana nao this time. Na kazi ninayofanya inanifanya niwe mbali sana na wasichana wazuri wa rika langu.
title isikuchanganye sana, inaweza kuwa sio sifa zote, ila nimeamua kuweka title fupi ndani ndo ukute ninachoelezea.