Nina siku ya nne sina Hamu ya kula

kimbendengu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
6,716
Reaction score
12,116
Kama kichwa cha habari kinavyo sema Nina siku nne Hamu ya Kula sijaipata hivyo madaktari was humu if naomba Masada went asanteni
 
Kama kichwa cha habari kinavyo sema Nina siku nne Hamu ya Kula sijaipata hivyo madaktari was humu if naomba Masada went asanteni

Yawezekana ' Nyuzi ' za Gitaa la Solo la ' Dally Kimoko ' zimeanza ' Kucheza ' Mkuu.
 
Mkuu utakuwa umepigwa kibuti, Vuta pumzi, vuta msosi kula
 
Ukiona mtu ana dalili hapendi kula,kukaa peke yake,hasira,kushika shavu ukimsemesha anashtuka kwa kukurupuka.ujue mtoa roho hayuko mbali kama si wiki basi ndani ya mwezi husika.by experience
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…