Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,869
- 787
namba yako plzmkuu tuwasiliane
Malawi ,south Africa na Indianje nchi gan?
mi sinunui nakuunganisha na masoko ,unanipa commission yanguSesame unanunua bei gan kwa kil
Choroko,mbaazi,dengu zipo pls call 0676019019Wadau
Mimi nina soko la nje la white maize,sunflower oil na sesame seeds kwa wingi .Kwa mtu mwenye uwezo wa kufanya biashara namimi on commission basis tuwasiliane kwa pm........ Only serious suppliers with reasonable prices!!!!
kwa kweli kwa kipindi hiki sijapata maombi ya bidhaa za aina hizi..ila huwa zinakujaga sana kipindi chake....tutawasilianaChoroko,mbaazi,dengu zipo pls call 0676019019
kama una hizo products kwa wingi say kuanzia tani 30 kwa mwezi then tunaweza fanya kituOk.sasa nifanyeje na unahitajika uwe na tan ngap ili upeleke soko la nje?
unayo kiasi gani,ni yake ya kawaida......ni pm namba yako plzWhite maize ni aina gan hyo kama ya kawaida nnayo iringa. Tutaftane.
Hata gunia 100 ztapatikana inategemeana na uzuri wa soko.unayo kiasi gani,ni yake ya kawaida......ni pm namba yako plz
hiyo ni kama 10tons.....yanatakiwa kwa wingi sana....lakini nitarudi kwako...naomba namba yako pia...nijulishe kuhusu bei FOB Dar es SalaamHata gunia 100 ztapatikana inategemeana na uzuri wa soko.