Nina stress, nifanyeje?

Huu ushau
Huu ushauri hospitali unauzwa. Umemsaidia sana
 
Hiyo kunywa maji mwanangu uwiiii
 
Jaribu pia kusoma motivational books...japo na vyenyewe vnaweza kuongeza au kupunguza kiwango chako cha stress
 
Hiyo kunywa maji mwanangu uwiiii
Ha ha ha usihofu ukishajua mwili wako maji ndo mengi kuliko damu utakunywa tuuu ....
Jitahid kutafuta faida za maji
Ila kabla ya kulala one glass
Asubuhi ukiamka kabla ya mswaki wala lolote one glass weka sawa internal organ

Before kuoga one glass to lower body pressure

Ukiumwa kichwa cha stress na uchovu kunywa maji lala kifudifud sehemu safi na tulivu isiyo na kelele hta ya mlio wa simu ukiamka upo fit

Maji husaidia kuweka sawa kibofu cha mkojo kwa kuondoa chumvi chumvi.

Zipo faida kibao za maji wewe tafuta .hta ngozi kaaa ya ray ha ha ha
 
Asantee saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…