Sijawai kuugua maleria kwa miaka kumi na moja sasa je kuna hatari yeyote? niksikia kuumwa uwa nakula alafu najipa moyo kuwa ni njaa pia uwa naogopa sana dawa zozote ziwe za kienyeji au za hospitali coz nikimeza uwa natapika. watu wengi wananiambia siku nikija kuumwa nitazidiwa sana ni kweli?
Nijenge mazoea ya kupima magonjwa kila baada ya muda gani?
Ugonjwa wangu mkuu uwa ni meno uwa yanameguka je nitumie dawa gani? yalikuwa yanauma zamani nimeshang'oa mawili. MSAADA PLEASE.
Nijenge mazoea ya kupima magonjwa kila baada ya muda gani?
Ugonjwa wangu mkuu uwa ni meno uwa yanameguka je nitumie dawa gani? yalikuwa yanauma zamani nimeshang'oa mawili. MSAADA PLEASE.