Mkuu.@Madam Kwa Maelezo yako unataka utumie Dawa wakati wewe hujawa mgonjwa?endelea kuwa muangalifu kuhusu afya yako na Mshukuru Bwana Mungu kwa kukupa Afya njema kunywa sana Maji ya
Uvuguvugu kila siku asubuhi unapo amka kunywa glasi 2 kabla ya kupiga mswaki na unapomaliza kupiga mswaki kunywa maji ya uvuguvugu glasi moja kaa baada ya saa moja waweza kula chakula fanya hivyo kila siku
Asubuhi unapo amka na Mchana waweza kunywa glasi moja na Usiku glasi1 kabla ya kula Chakula utakuwa na Afya nzuri uwe unakwenda kupima Afya yako kila baada ya miezi 6 achana na kula vyakula vya kutia unene vyakula vyenye Mafuta Mengi pendelea kufanya Mazoezi ya Mwili utakuwa na Afya bora ni hivyo.