Nina swali wajuzi wa mambo

Nina swali wajuzi wa mambo

Hivi kuna uhusiano gani kati ya wanyamwezi pamoja na wasukuma na zanzibar? Au kati ya wanyamwezi pamoja na wasukuma na zanzibar? Maana zanzibar kuna idadi kubwa ya wanyamwezi pamoja wasukuma kila mahari.
Wanyamwezi wengi waliozamia zanzibar kipindi cha nyuma walikuwa wanaolewa na wapemba ama waarabu
wengi mitaro ilizibuliwa vibaya sana. hao walikuwa wakienda miezi 6 akirudi anakuja na mazaga kibao wengine hadi na amenawili kama mwanamke.

Lakini kazi ngumu ndo hawezi tena?
 
Back
Top Bottom