Nina swali wajuzi wa mambo

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Hivi kuna uhusiano gani kati ya wanyamwezi pamoja na wasukuma na zanzibar?

Au kati ya Wanyamwezi pamoja na Wasukuma na zanzibar?

Maana Zanzibar kuna idadi kubwa ya Wanyamwezi pamoja Wasukuma kila mahali.
 
Hivi kuna uhusiano gani kati ya wanyamwezi pamoja na wasukuma na zanzibar? Au kati ya wanyamwezi pamoja na wasukuma na zanzibar? Maana zanzibar kuna idadi kubwa ya wanyamwezi pamoja wasukuma kila mahari.
Wanyamwezi wengi waliozamia zanzibar kipindi cha nyuma walikuwa wanaolewa na wapemba ama waarabu
wengi mitaro ilizibuliwa vibaya sana. hao walikuwa wakienda miezi 6 akirudi anakuja na mazaga kibao wengine hadi na amenawili kama mwanamke.

Lakini kazi ngumu ndo hawezi tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…