Kingdom_man
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 405
- 462
Nafikiri company profile, lakini ingependeza kama ungekuwa na website hapo ndyo ungepiga bao safi. Kwani utazionesha bidhaa zako bila ya shida. Chacharika Robbinhood!Habarini wanajamvi!
Hivi kama mtu unataka kujaribu zali kwa kuapply tender za kusupply bidhaa kutoka Tanzania kwenda Abroad in European big supermarkets....
Ni document gani inabidi uambatanishe, is it proposal, business plan, or company profile au ni kuwaandikia tu barua pepe?!!!.....
Kwa wajuzi mnaofahamu tafadhali mnifahamishe.....
Nafikiri company profile, lakini ingependeza kama ungekuwa na website hapo ndyo ungepiga bao safi. Kwani utazionesha bidhaa zako bila ya shida. Chacharika Robbinhood!
Robbinhood, with tender you apply to bid once that 'tender' is floated. Ni nyingi kupeleka mbao, maua, mijusi etc.
Ila kama ww una bidhaa unataka ku - supply Europe inategemea ni nini unataka kupeleka na una target soko gani, wazungu wenyew, wabongo, wa afrika mashariki au waafrica kwa ujumla?
Ukiacha madini na wanyamapori bidhaa zetu za shamba na viwandani ni ngumu kuuzika hadi nyingine wameziwekea 'quarantine' don't even dream to sell anything kwenye AGOA market Marekani.
Ila you still can export dagaa to UK and USA, nikuuzie soko?
Usikate tamaa ila kwa supermarket hizo ulizozitaja haiwezekani, labda hizi ndogondogo, mfano Tesco wanachukua ndizi toka SA ila wana makubaliano kuchukua kwenye mashamba maalumu kupitia mpango wa fair trading, na isitoshe suala la packing na transportation inakuwa vigumu kwa Tanzania,Hapo umenikatisha tamaa kabisa kwa hiyo unaniambia if am planing to export matunda/bidhaa za shamba hazlipi!!!!.....so far i only have an idea kwenye bidhaa za shamba kama vile nyanya, machungwa, viazi, mananasi, even peanut- butter etc kwenye European supermarkets kama Asda, Tesco, Sainsbury's through their agents suppliers ........ngoja nicheki na hilo na soko la dagaa then ntakushtua vipi una chanel sio?!
Hapo umenikatisha tamaa kabisa kwa hiyo unaniambia if am planing to export matunda/bidhaa za shamba hazlipi!!!!.....so far i only have an idea kwenye bidhaa za shamba kama vile nyanya, machungwa, viazi, mananasi, even peanut- butter etc kwenye European supermarkets kama Asda, Tesco, Sainsbury's through their agents suppliers ........ngoja nicheki na hilo na soko la dagaa then ntakushtua vipi una chanel sio?!