Nina tatizo gani?

Nina tatizo gani?

oldd vampire

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
253
Reaction score
52
Jf doctor,nisaidieni na hili.

Katika life yangu mpaka hapa nilipo sijawahi fika orgasm,sasa sijui ni tatizo gani..sio kwamba mpenzi wangu haniandai vizuri hapana,ananiandaa mpaka napata hamu ya sex, lakini mpaka anamaliza mie wala..hua najaribu niwe na concentrate na kuvuta hisia napo kua na sex ila wapi..sometimes nakua kama nakaribia fika alafu hamu yakata.

What is this jamani?
 
Basics first - mpenzi wako huwa anashusha mzigo baada ya dakika ngapi?
 
Its baada ya half an hour,na hua afanya hivyo ili at least anridhishe ndo mana ana kaa sana
 
Hilo nalo ni neno. Hapa ni Dr. tukisema tutaambiwa tuna mathusi.
 
Back
Top Bottom