Wakuchanja
Member
- Oct 12, 2017
- 82
- 54
Habarini wana JF natumaini wazima,
Kuna kitu kinanitatiza kidogo uhusiano wa mtu kuumia(kubanwa na kitu ama kusababisha maumivu makali mwilil) na kutoa sauti( mlio) unakujaje hapo.
Msaada please