Wakuchanja
Member
- Oct 12, 2017
- 82
- 54
labda huyo mtuu umuwekee vibration kupunguza azaa za mlio.
Chek tenaDuh hili swali mbn halieleweki funguka mkuu
Kwa sababu sehemu husika iliyobanwa huleta maumivu makali ndio maana watu hutoa ukelele fulani hivi...Mambo ya hisia ndio yalivyo mkuuHabarin wana jf natumaini wazima, kuna kitu kina nitatiza kidogo
Uhusiano wa mtu kuumia(kubanwa na kitu ama kusababisha maumivu makali mwilil) na kutoa sauti( mlio) unakujaje hapo
Msaada plz