Ni mwaka mzima sasa naumwa mguu, unavimba hasa nikikaa muda mrefu kama ofisini hivi,nikilala unakuwa kawaida.Madaktari wanasema damu inaganda kwenye mishipa natakiwa kutumia anticoagulants maisha yangu yote na siruhusiwi kubeba mimba.
ISSUE.
Sijabahatika kupata mtoto hata mmoja na nipo kwenye ndoa, je wanajamiii kuna mtu aliwahi kuwa na ugonjwa kama huu akapata mtoto?
Na je huu ugonjwa unatibika? Na hospitali gani wanaweza kunisaidia au nitumie nini ili nipone maana napata tabu sana.Jamani naomba msaada wenu.

ni hospitali zipi hizo unazosema?hawa mabingwa wanapatikana hospitali hizi hizi zisizojali?hospitali zetu huwa hawajali kuchukua tahadhari. Nitakushauri uwaona mabingwa wa hematology kwa