Sina uhakika Mkuu,Walienda kupima Cylinder head gasket kama imepinda?
Sorry namaanisha cylinder head.Sina uhakika Mkuu,
Lakini unamaanisha Cylinder Head Gasket au tu Cylinder Head?
Ilichemsha mkuu,Nina assume ulibadilisha blown HG sababu gari ilikuwa inachemka..
Vitu vya kucheki na fundi wako..
Timing belt ilifungwa sawa..!!?
Vikombe aliviadjust..!!?
Pole sana, kama ilichemsha kuna vingi vya kubadilisha...Ilichemsha mkuu,
Sijajua kuhusu vikombe na timing belt
Haiko related na mfuniko wa rejeta hii master. Mfuniko wa rejeta ile inatokana na engine kua inaoverheat ambapo at times inaeza pelekea hata hosepipe ile kufyatuka.Ilishawahi kunikuta hiíi nikabadilisha mfuniko wa Rejeta tu gari ikawa mpyaaaaa hadi leo nakata mitaaaaa tu.
Badilisha na wewe ila isiweke wa bei rahisi weka ule wa 20k au 10k
Jamani hata Mimi gari yangu Suzuki grand Vitara J20 engine mpya nimeweka ikitembe hata km 15 hasa lafu load inaheat inazima. Ukikaa kidogo uwashe inawaka.Walienda kupima Cylinder head kama imepinda?