kazi ipo, huyo aliesema jamaa achezewe zakhali yake, ni hatari ataumia zaidi, namshauri kwa kuwa nilihisi tatizo kama lake, akipizi asitoe, aendelee kama
atapizz vinne au vitano humohumo mara kwa mara tatizo lake litaisha.
Pia namshauri asiache kufanya tendo na mkewe, inaonekana ni mgeni kwenye ndoa, sasa anajisikia hamu kla mara, si ugonjwa ni ugeni, tahadhari ni kuwa
kufanya kila awapo na mkewe na naiwe na mke nae anapenda, kama mke hapendi ni tatizo, inabidi apate tiba za kitabibu, kwa sasa ushauri kama
kufanyakazi ngumu ni sawa lakini nashauri afanye kama kawaida kazi zake za kila siku, madhara ya kufany akzi za nguvu inamaana kuna athari baadae,
lazima impakti imkute, nashauri awe normal na ale kawaida, apunguze protein kama nyama na nafaka apunguze. aendelee na maisha hiyo kitu wenzako
wanaitafuta wewe unapunguza!