Habari zenu wana Jamii Doctor
Nimekuwa nikisumbuliwa na Tatizo la kiuno kuuma kama nimeteguka hivi, iwapo nimeinama muda mrefu, ama nimeinuka kwa ghafla.
muda mwingine nikilala chali basi kinashtuka na kuanza kuuma, Sehemu inayo uma ni kwenye maungio ya mfupa wa kiuno na Spinal code, nisaidieni nitumie Dawa gani ili nipate kupona tatizo langu jamani