Nina tatizo la kufika kileleni mapema wakati wa tendo la ndoa

pambe samanini

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2015
Posts
368
Reaction score
169
Kwa muda sasa nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kufika kileleni mapema wakati wa tendo la ndoa kwani dakika moja au mbili tu inanichukua kufyatua manii hali ambayo inaninyima raha na kuchukiwa na mwenzi wangu naomba msaada wenu kwa suala hili
 
Kwa muda sasa nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kufika kileleni mapema wakati wa tendo la ndoa kwani dakika moja au mbili tu inanichukua kufyatua manii hali ambayo inaninyima raha na kuchukiwa na mwenzi wangu. Naomba msaada wenu kwa suala hili
acha pombe
 
Kwa muda sasa nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kufika kileleni mapema wakati wa tendo la ndoa kwani dakika moja au mbili tu inanichukua kufyatua manii hali ambayo inaninyima raha na kuchukiwa na mwenzi wangu. Naomba msaada wenu kwa suala hili
Je unafanya au ulishawahi kufanya haya?

1. Punyeto

2. Kuangalia movies za ngono
 
Jamani nisaidieni matibabu kati ya hayo moja la punyeto nilitumikia kwa muda mrefu hata muda huu nikiwa kwenye ndoa bado nagonga punyeto kukwepa aibu
 
Mkuu mwanaume kwanza lazima kile chá kwanza ufyatue fasta kisha tafuta bao lá pili hapo kama unanguvu kama mimi tafuta na bao lá tatu hapo ni ndani ya dakika 50 au 45 ndo maana sipendagi kutumia condom maana lazima nipasue bao 3 Bila kutoa mashine ndani ya dakika 50.
 
Pole duu side effect za masturbation hizo kwanza ungejitahidi kuacha nenda hospitali kuna madaktari wazuri tu wayakusaidia
 
Acha nyero, kunywa maji ya kutosha ukiweza piga asali mbichi+ vitunguu swaumu+ maji ya moto kila siku kwa wiki mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…