Nina tatizo la kukojoa Mkojo wa Njano, Naomba msaada

mjita

Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
12
Reaction score
0
Wana jamvi nina tatizo la kukujoa mkojo wa njano kwa muda wa miaka kama mitatu sasa na ninaumwa tumbo upande wa kushoto, nimefanya vipimo mara mara kadhaa lakini naambiwa sina tatizo lolote.

Naombeni ushauri wenu au kama kuna mtu anaweza kujua shida ni nini!
 
Kunywa maji mengi kadri uwezavyo, pia maji ya madafu husafisha figo na kibofu cha mkojo
 
Pambana na unywaji wa maji kwa kuanzia. Kwa wasiopenda kunywa maji, huwa ni ngumu, lakini anza kidogo kidogo mpaka utazoea kunywa maji ya kutosha.

Assumption yangu ni kwamba huna tatizo lolote kama ulivyodai mwenyewe.
 
usisahau kula na matango na matikiti maji kwa wingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…