Mi kuna wimbo unaitwa,"safari sio kifo mama iye yee,subiri nitarudi mama watoto"
nikiusikia napatwa simanzi kwelikweli nikipiga picha akilini namwaga mama watoto wangu,,,
ha ha ha,daamn,wakati hata huyo mama watoto sina.
Something something phisoligically i think