Nina tatizo la kusikia kizunguzungu na kutapika endapo tu nitafanya kazi yeyote ya kufanya nipumue kwa haraka

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,165
Reaction score
16,791
Habarini Wanajamvi..

nina tatizo la kusikia kizunguzungu na kutapika endapo tu kama nitafanya kazi yeyote ya kufanya nipumue kwa haraka au nikifanya mazoezi ya kukimbia haitonichukua dakika 30 lazima nitatapika.

naomba kujua hili linasababishwa na nini??

sina utaratibu wa kufanya mazoezi mara kwa mara.
 
Pole sana mkuu vipi uliwahi kupima damu ukajua wingi wake ukoje?
 
Pole sana mkuu
Kwa maana hiyo hata shuti zako kwenye mechi pendwa kitandani zinagonga besela? Tafuta ufumbuzi wa kudumu wa hilo tatizo
 
Pole sana mkuu
Kwa maana hiyo hata shuti zako kwenye mechi pendwa kitandani zinagonga besela? Tafuta ufumbuzi wa kudumu wa hilo tatizo
si kila zoezi unahitaji utumie nguvu mengine ni akili tu....asante
πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Mara kunywa maji kila saa mara kutapika aisee bae kafanye check up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…