Nina tatizo la kutofika kileleni

Bora uende Kilimanjaro ukawe Porter ubebe mizigo ya wazungu ukafike Marangu na Kibo Peak kihalali
 
Polee mzee, hio hali inatokeaga sometimes.
Brother una magonjwa yeyote ya muda mrefu yanayokusumbua kama kisukari au multiple sclerosis???
Ushawahi kufanyiwa upasuaji au kupata ajali yoyoote kweny sehemu za pelvis au kweny sehemu zako za siri???
 
Kweli mkuu nadhani we ndo shuhuda hili tatizo linanisumbua mno
Inauma unapiga shoo muda mrefu halafu wazungu hawatokei yani ni mateso sana hata kuelezea haielezeki
Nataka msaada niko serious sana
 
We jamaa una shida gani
Mbona unapenda habari za ushoga
Me nimeleta tatizo langu
We umenisumbua toka PM ukitaka fc libolo langu
Usiwe hivo me siwezi kuwa na Mawazo ya kipumbavu kama yako
We kama kichwa kimejaa huo uchafu me nakutahadharisha sitaki mazoea na wewe
Wanaume marijali wanajua na hili tatizo linawapata
Ww shoga unawashwa tu kinyeo tumbafu
 
Uko sahihi kabisa mkuu, niliwahi ku experience pia, ndo kutafuta tafuta nikajua kumbe hiyo shida ipo ingawa ni very rare almost 8% ya wanaume wote ndo maana watu humu wamesema ni tangazo.
Naamini unajua mkuu
Naomba msaada wa tiba tafadhali
 
yaani hata unavyoandika tu unaonekana papai. ficha aibu yako kidogo basi. weka screenshot hapo kama kuna kitu kama icho nimefanya? mwanaume mzima unalilia kufika kileleni? kweli? yaani vijana ndio mmefikia kiwango hiki cha uovu? wanaofika kileleni ni wanawake, wanaume huwa tunakojoa. wewe unalilia kufika kileleni, mbona unatia aibu?
 
Pole sana Mkuu.

Naomba kujua, wewe ni mlevi kupindukia?

Je, siku za hivi karibuni kuna dawa zozote unazotumia? Hata za tatizo lingine?

Kuna jambo lolote linakuletea msongo wa mawazo?

Kabla ya hapo ulikuwa unatumia muda gani kumwaga?
Beer nakunywa ila ulevi kupindukia hapana
Situmii dawa zozote
Sina stress
Ushauri na tiba naupokea kwa mikono miwili
Sipati raha ya kumwaga nadhani kama mtaalamu urakuwa unajya suluhu yake
 
Basi acha hasira mrembo ombi lako nimelikubali njoo Kabanga Ngara nitakupa tiba ya muwasho wako huko nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…