Nina tatizo la kuumwa tumbo kwa Miaka 20 sasa, naomba msaada

ufumawicha

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
504
Reaction score
209
Nina tatizo kubwa la tumbo kuuma kwenye kitovu, huu mwaka wa 20 sasa sijui nini. Dawa za tembe zishashindwa. Pia vitu vinanitembea mwilini.
 
Mh…..unasubiri miaka 20 kupata tiba??Unahisi vipi vitu vinatembea mwilini mkuu?
 
Pole ndugu ila fika ktk kanisa lolote la kisabato wakusaidia kwa maombi n.k
 
Yani miaka 20 kweli jamani ama tunataniana humundani Mr.Mangi unaamini hilo kweli miaka 20 usitafute tiba?
 
Last edited by a moderator:
Ha! We mtu, una tatizo kwa miaka 20 sasa halafu leo unataka msaada wa haraka?
 
umenish2a bure kumbe tatzo la miaka 20 bdo 2 hujalishughulikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…