ndiuka
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 644
- 740
Katika siku za hivi karibuni nimekuwa na tatizo la kupigwa shoti ya umeme naposhika milango ya aluminium au mageti.
Hii hutokea ninapokua nimekaa kisha kuinuka either nifungue mlango wa ofisi wa aluminium basi huwa napigwa shot au ninaposhuka kwenye gari nifungue geti nyumbani basi pia nikigusa geti napigwa shoti.
Je, tatizo ni nini? Nimetafakari sijapata majibu