Katika siku za hivi karibuni nimekuwa na tatizo la kupigwa shoti ya umeme naposhika milango ya aluminium au mageti.
Hii hutokea ninapokua nimekaa kisha kuinuka either nifungue mlango wa ofisi wa aluminium basi huwa napigwa shot au ninaposhuka kwenye gari nifungue geti nyumbani basi pia nikigusa geti napigwa shoti.
Je, tatizo ni nini? Nimetafakari sijapata majibu
Umeshauri vizurinyumba unayokaa kuna static charges nyingi ambazo zinaingia mwilini mwako.
kwa nini!
inatokana na vifaa kufuja au kusambaa lakini hazina hatari ila ndio chanzo mama cha umeme na radi.
embu jaribu kuangalia au kupata kifaa cha kupima
View attachment 1958536
kuna siku utakuja kupigwa na radi.
jaribu kuangalia ili kuweza kutatua
Static charge zinatokea wapi? Na pia husababishwa na nini kuongezeka kwa Static charges, na hicho kifaa unapimia wapinyumba unayokaa kuna static charges nyingi ambazo zinaingia mwilini mwako.
kwa nini!
inatokana na vifaa kufuja au kusambaa lakini hazina hatari ila ndio chanzo mama cha umeme na radi.
embu jaribu kuangalia au kupata kifaa cha kupima
View attachment 1958536
kuna siku utakuja kupigwa na radi.
jaribu kuangalia ili kuweza kutatua
Static charge zinatokea wapi? Na pia husababishwa na nini kuongezeka kwa Static charges, na hicho kifaa unapimia wapi
Maelezo mazuri, lakini sasa tuangalie kwenye swali hili je zinakuaje nyingi eneo fulani mpkaa hata mtu zinamzidia, je ni nyumba kutofanyiwa wiring bora au kuwa na Erath wire dhaifu yani nini chanzo kuwepo kwa kuongezeka zaidimaana ya static charge
ni umeme asili ambao hupo au umeme msingi duniani kote.
kila asili yake hipo kwenye atom.kila unacho kiona na usicho kiona kina umeme asili ndio maana unaweza kushangaa mfano gesi aina chanya kuunganika na gesi chanya nyengine ni ngumu.
mfano H20 =2H+ * O-
hizi zote zina asili ya umeme.
na vitu vingi vyote yani tuseme dunia ina umeme asili ambao ujachokozwa.
ndio maana tunapochokoza kutumia vifaa kama dynamo au solar na kemikali kama zilizo kwenye betry au chochote lazima zifanye kazi kupata electric energy.
nguvu ya static charge inatabia ya kubalance sehemu ambazo hakutoshelezi.
ndio maana unaona ngurumo za radi! au radi kabisa.
ukiona hivo ujue kuna sehemu panaitaji au kuna static za kutosha ili kubalance.
ndio maana hata nyumba na vifaa tunavotumia kwa nini tuna tumia kifaa kinaitwa earth wire.
hii inasaidia lolote kama kiwango kikiwa kikubwa kupunguza kwenda ardhini.
sio short jamani !
mnaweza kuniuliza
Safi
Maelezo mazuri, lakini sasa tuangalie kwenye swali hili je zinakuaje nyingi eneo fulani mpkaa hata mtu zinamzidia, je ni nyumba kutofanyiwa wiring bora au kuwa na Erath wire dhaifu yani nini chanzo kuwepo kwa kuongezeka zaidi
Pole sana... Chanjo hiyo...