Sasa mkeo unamfichaje jombaa ?Habari zenu
Mimi ni kijana ambaye nimeowa lakini Kwa kipindi cha miezi miwili sasa nimepatwa na tatizo la uume wangu kuwa dhaifu yaani hausimami vizuri kama kipindi cha nyuma. Inafika Kipindi hata kufanya mapenzi nashindwa kabisa
Na kinachoniumiza zaidi ni kuwa na mke ndani na nimejitahidi kumficha tatizo nililonalo lakini sasa nimeshindwa
Naombeni ushauri.
Asanteni
Pole mkuu.Habari zenu

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Picha plz
Mkuu nicheki Pm nikuelekeze dawa after 24 hrs inaanza kufanya kaziHabari zenu
Mimi ni kijana ambaye nimeowa lakini Kwa kipindi cha miezi miwili sasa nimepatwa na tatizo la uume wangu kuwa dhaifu yaani hausimami vizuri kama kipindi cha nyuma. Inafika Kipindi hata kufanya mapenzi nashindwa kabisa
Na kinachoniumiza zaidi ni kuwa na mke ndani na nimejitahidi kumficha tatizo nililonalo lakini sasa nimeshindwa
Naombeni ushauri.
Asanteni
Hapa nashindwa kuelewa mnaposema anamficha mkewe,.anamfichaje yani wakati wanashiriki tendo la ndoa ?Pole sana!!!
Usimfiche wife... Ataanza kukufikiria vingine.
Nenda kapime afya kwanza!!! Kisukari na presha vina tabia ya kuathiri nguvu
Ni stress tu, Hilo sio tatizo nadhani kuna baadhi ya Mambo yako hayajaenda km unavyotaka , we sikilizia tu itajirekebisha yenyeweHabari zenu
Mimi ni kijana ambaye nimeowa lakini Kwa kipindi cha miezi miwili sasa nimepatwa na tatizo la uume wangu kuwa dhaifu yaani hausimami vizuri kama kipindi cha nyuma. Inafika Kipindi hata kufanya mapenzi nashindwa kabisa
Na kinachoniumiza zaidi ni kuwa na mke ndani na nimejitahidi kumficha tatizo nililonalo lakini sasa nimeshindwa
Naombeni ushauri.
Asanteni
Ata sijui imekuaje!!! Mkuu si ndo kasema hivyo!Hapa nashindwa kuelewa mnaposema anamficha mkewe,.anamfichaje yani wakati wanashiriki tendo la ndoa ?
Kwani mkewe hahisi au haoni kabisa kama jamaa ana kitu lege lege au?
Embu nieleweshe kidogo wanafichanaje ?Maana hata wangekuwa wanafanya gizani bado angejua tu jamaa hapandi mtungi.