Nina tatizo la kuwa na Uume legelege

Ata sijui imekuaje!!! Mkuu si ndo kasema hivyo!
basi huenda hajui halisemalo

Maana ni kitu cha kushangaza kidogo

Yani uume uingine ukeni halafu mke asijue kitu kilichomuingia kama ni lege lege au laaah ni kitu kisichowezekana kwa kweli.
 
Acha kuvuta sigara na bangi na mirungi
Acha pombe aina zote
Acha nyama nyekundu
Kula mboga nyingi na matunda halafu usigombane na mkeo.
Nakupa siku mbili. Tatizo kushne
 
Hii huletwa na mambo mengi. ea vyakula unavyo kula sigara na kikubwa zaidi kuliko yote ni frustration za maisha lakini mwone daktari kwa ushauri zaidi. Usije kujaribu dawa za kimasai maana namfahamu mtu alitumia siku 4 haikulala akataka kufa
 
Watakuja kukugongea mkuu, kwa nini usimshirikishe kinaga ubaga kusudi mtatue tatizo wote. Zingatia mazoezi, epuka vyakula vya mafuta kama chips mayai, tumia asali, tangawizi, mdalasini, habat piga hio mixer kila siku utaona mabadiliko tu. Gegedo litakaza tu.
 
basi huenda hajui halisemalo

Maana ni kitu cha kushangaza kidogo

Yani uume uingine ukeni halafu mke asijue kitu kilichomuingia kama ni lege lege au laaah ni kitu kisichowezekana kwa kweli.
Yaan mm nimeshindwa hata kushangaa yaan! Au mkewe anakua kalala au anamzuga na dildo?[emoji20]
 
Miti shamba ni nini?
 
Acha kuvuta sigara na bangi na mirungi
Acha pombe aina zote
Acha nyama nyekundu
Kula mboga nyingi na matunda halafu usigombane na mkeo.
Nakupa siku mbili. Tatizo kushne
Sorry mkuu, mirungi inaweza kua ni sababu kweli, kvp inaathiri ?
 
Mkuu pole sana
Unaweza tumia dawa hii sidenafir citrate nusu kidonge nusu saa kabla ya tendo
 
Wewe hujui kama watu wanatangaza biashara?

Au wewe darasa la Saba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…