REDA Electrical
Member
- Jul 4, 2021
- 13
- 11
Ukikua utaelewa sawaMimi ni mgeni katika sex ni mara 2 nimesex tangu nizaliwe na ni mwezi umri miaka 22
Sasa nina shida moja mashine yangu kabla ya kuanza inasimama balaa ila nikianza game dakika 2 nimepizi
Achana na kumaliza show kabla ujafika eneo la tukio.Mimi ni mgeni katika sex ni mara 2 nimesex tangu nizaliwe na ni mwezi umri miaka 22
Sasa nina shida moja mashine yangu kabla ya kuanza inasimama balaa ila nikianza game dakika 2 nimepizi
Kwenye nyeto kulipata la pili ilikuwa mtihani na nilikuwa naishia la kwanza tu. La pili mpk dakika 15 nijivute ndio lije ila now hata la pili hata la tatu na kuendelea yanakuja fasta tu.Tuliowahi kupiga nyeto hatuna hilo tatizo.Be inspired
Kivipi?Ukikua utaelewa sawa
Hii nayo ni shida kwangu. Sex zote mbili nilikuwa naziwaza siku moja kabla hata ya kusexAchana na kumaliza show kabla ujafika eneo la tukio.
Vijana wengi tunafanya mapenzi kwa imagination kabla ya shughuli yenyewe husika, muda ukifika ushachoka akili na utulivu.
Relax, kula vizuri na ujipe muda wa kupumzika vizuri. Tatizo litaisha hilo
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Km wewe ni mgeni hiyo ni jambo la kawaida kwasababu hisia Iko juu. Uwe na mtu moja tu hiyo hali itaisha yenyewe
Mimi ni mgeni katika sex ni mara 2 nimesex tangu nizaliwe na ni mwezi umri miaka 22
Sasa nina shida moja mashine yangu kabla ya kuanza inasimama balaa ila nikianza game dakika 2 nimepizi
Natulia sekunde inaanza kusimama tena
juzi nilipiga bao 6 ila mtindo ndio ule ule nikishaingiza tu ndani ya dakika 2 zimezidi 3 nimeshapizi
Sasa solution ni nini
Acha nyetoMimi ni mgeni katika sex ni mara 2 nimesex tangu nizaliwe na ni mwezi umri miaka 22. Sasa nina shida moja mashine yangu kabla ya kuanza inasimama balaa ila nikianza game dakika 2 nimepizi.
Natulia sekunde inaanza kusimama tena. Juzi nilipiga bao 6 ila mtindo ndio ule ule nikishaingiza tu ndani ya dakika 2 zimezidi 3 nimeshapizi.
Sasa solution ni nini?
now nimeacha kabisa baada ya kujua tatizoAcha nyeto
Tuliowahi kupiga nyeto hatuna hilo tatizo. Be inspired