Nina tatizo la kuwahi kufika kileleni

Natulia sekunde inaanza kusimama tena. Juzi nilipiga bao 6 ila mtindo ndio ule ule nikishaingiza tu ndani ya dakika 2 zimezidi 3 nimeshapizi.[emoji23]
Pole sana bado u mwanafunzi hiyo hali itaisha
 
Nakuonea huruma dogo huu uzi wako utakufanya uje kujuta sana badae ushauri toa picha yako hiyo
 
unakamia game ndo maan unazngua
 
Ngoja nianze kuona kawaida tu now

Ukikutana na dem usizdshe mawazo juu ya sex mnayoenda fanya ndo maan hufany vzr, pia kula vzr na fanya mazoez itakusaidia
 
Hongera sana baba kwa kupizi! Ila useme nimetombana sio nimesex, hii ligha ya vitoto vya kike.
Kuwa mwanume sasa!!
 
Tafuta kitabu hiki:SULUHISHO la matatizo ya uhusiano,uchumba na ndoa.
Humo unafundishwa kila kitu, kuhusu kufanya mapenzi, kumfikisha mwanamke kileleni, usafi wa uke, kuhusu uume mdogo na wenye upungufu wa nguvu za kiume masuluhisho yote yapo .
 
[emoji1][emoji1][emoji1]

Bonge la ushauri unaweza kuchukulia poa ila [emoji1][emoji119]
Mkuu huyu dogo mwenyewe hajajua hapo amejiepose vibaya wezake na wanaomjua wakiona hiyo picha na kumtambua italetea msongo mkubwa sana
 
Huna tatizo lolote mkuu, Upo sawa kabisa. Yani kama Unaweza Kusimama ukapiga na Ukashusha na Ukasimama tena na tena na Tena Hauna tatizo kabisaaaa Tena Usijaribu eti Kutumia madawa

Lengo lako ni kukojoa na Unakojoa vizuri tu na Unarudia Mara Kibaao ukiwa sawa Sasa unataka uchelewe Kukojoa ili Iweje? Relax kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…