pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Pole sana mkuu.Inawezekana kwa automatic car,ila unahitaji mazoezi ya kutosha coz right hand automatic car imetengenezwa kwa ajili ya mguu wa kulia ktk kukanyaga accelerator na break!Niliparalyse mguu na mkono wa kulia.Nimejaribu kuendesha baiskeli nimeshindwa.
Kwa mguu na mkono wa kushoto pekee naweza kuendesha gari?
achana na mawazo ya kimaskini wewe, yaani ashindwe kuendelea na shughuli zake kuwaza majanga? kwa taarifa yako kuna watu hawana mikono na wanaendesha magari.Nakushauri achana na wazo la kuendesha gari kwa sasa pambana na omba Mungu uboreshe afya yako kwanza gari itakuletea janga lingine.
achana na mawazo ya kimaskini wewe, yaani ashindwe kuendelea na shughuli zake kuwaza majanga? kwa taarifa yako kuna watu hawana mikono na wanaendesha magari.
Ndiyo! Inawezekana. Ninarafiki zangu wanne walemavu (wamelemaa kabisa miguu yote Ila Mikono ni wazima) wanaendesha malaria. Prado, Noah, Nissan gari zao ni automatic. Wamezimodify tu. Wanatumia kirungu kushika break na kuachia au kukanyaga acceleratorNiliparalyse mguu na mkono wa kulia.Nimejaribu kuendesha baiskeli nimeshindwa.
Kwa mguu na mkono wa kushoto pekee naweza kuendesha gari?
Uliweza kuendesha? Ushapona StrokeAsanteni kwa michango yenu.