Nina tatizo la msuli

Nina tatizo la msuli

Vladmir

Senior Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
178
Reaction score
22
Tafadhali naomba msaada kwa yeyote anayemjua Daktari mzuri anayeweza kutibu matatizo ya msuli kuvimba, kuna ndugu yangu anatatizo la kuvimba msuli wa paja kwa nyuma umevimba na una muuma sana , tumejaribu tiba hazina msaada na vidonge amekunywa sana havijamsaidia kabisa tatizo lipo palepale.
 
Back
Top Bottom