Habari wadau..
Ni kama wiki na kidogo sasa sehemu mbalimbali za mwili ninatokwa na vipele vidogovdogo kama vya jasho lakn vinawasha hali inayopelekea kujikuna hadi naichubua ngozi wkt mwingine.vilianzia mapajani , vikaja kwny magoti, vikarudi ubavuni na mikononi.tatizo litakua ni nini jaman? Nimepanga kesho kwenda hospital Ila ningependa kupata dondoo kdg
Sent using infinix zero4