Nina tatizo la Uti wa Mgongo

Wisegr

New Member
Joined
Aug 5, 2023
Posts
2
Reaction score
1
Habari wana-JamiiForums,

Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa3 Sasa Kwa kipindi imenibidi ni simamishe masomo kutokana na Naumwa UTI wa mgongo ni miezi sita Sasa. Siwezi kusimama wala kutembea miguu yote miwili Haina nguvu wala vidole vya miguuni vyote haviwezi hata kucheza na mwezi wa10 natamani kurudi kuendelea na masomo.

Hospitali nimeenda na Madaktari wakashauri kuwa natakiwa kufanyiwa upasuaji wa kwenye UTI wa mgongo baada ya kufanya mazoezi tiba Kwa mda mrefu na hakuna matokeo au maendeleo yoyote naombeni ushauri wenu wana jamiiforum kuwa ili jambo ni sawa au Lina negative effects zozote naomba kufahamu.
 
Pole Sana
Upo mkoa gani ili tukufikie kwa Ukaribu zaidi .?
 
Umepata tiba?
 
ni wa kutokana na kuugua infection au ni ajali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…