Nina tatizo la uume kusimama mara kwa mara?

fanya mishe upate green card uende zako USA, ukigawa nukta mara tatu mzigo hauwez kwenda dede tena!
 
haaaa, pole sana kijana, inaoneka ni mtumiaji mzuri wa madawa ya heelow rafiki, thatha pungusa hiyo, naumisa ww mpk ofisini.
 
Najua pia kuna magonjwa pia kama Sickle Cell Disease...
 
Uume kusimama saana inawezekana pia ukawa ni ugonjwa unaoitwa PRIAPISIM. Hufanya usimame saana wengine hupona kwa dawa na wengine huhitaji upauaji mdogo ili apone. Nakushauri kama inasumbua sana ni vyema uende hospitali ya karibu kufanya vipimo ili ujue mapema kama uko poa au una matatizo.
 
si mnasema ndo uhai wa mwanaume? sasa ushauri wa nn! we dunda tu watu waone kuwa we kidume!!!
 
unatakiwa ujisifu kuwa ww ni lijali mwenye nguvu wengine hawana kaka wanahitaji wape sema punguza hisia hizo kichwani uwo sio ugonjwa
 
Naombeni msaada wana JF huwa nadindisha sana.hata nikiwa kazini.najitahidi kuwa busy lkn.unakuta ngoma inasimama dede.ili tatizo dawa yake nn??
Sasa shida nini. Hapo ofisini hakuna mdada anayeweza kuipapasa papasa hiyo kitu? Ikianza manjonjo muite aipe massage. Kama Vipi uwe abiria wa kudumu kwenye dala dala zilizojaa
 
jamani mambo mengine ni aibu kazini sasa wenzako hawakushangai
cha kufanya wewe fanya mazoezi ya viungo na uache kuangalia vile vitu shauiriro
 
Hilo ni tatizo linaitwa Anglominus Stilofelettos ,kama una muda nione nipate ku ku examine uume wako nikupatie tiba halisi, nitatizo linalo wakumba baadhi ya watu , nione inbox kwa maelezo zaidi
 
Hilo ni tatizo linaitwa Anglominus Stilofelettos ,kama una muda nione nipate ku ku examine uume wako nikupatie tiba halisi, nitatizo linalo wakumba baadhi ya watu , nione inbox kwa maelezo zaidi

Duh! Ama kweli kwa nini wewe usihamie uingereza au marekani tu ili uwe huru?
 
Naombeni msaada wana JF huwa nadindisha sana.hata nikiwa kazini.najitahidi kuwa busy lkn.unakuta ngoma inasimama dede.ili tatizo dawa yake nn??

kula viagra na :majani7: utapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…