Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uume wangu huwa unasimama ovyo pindi ninapoongea na msichana,hivyo kunipelekea kuwa na aibu hasa katika sherehe,JE TATIZO NI NINI?KARIBUNI WAKUU
ha ha ha ha ha ha ntafanyia uchunguzi
Una muda gani hujafanya tendo?
Did you know, Men have an average 13 erections per day.
usivae suruali za kubana kwani zinaweza kukuaibisha kama mimi one day
5years mkuu
na wenyewe huwa unataka kuongea na huyo msichana
tatizo lako ni dogo sana kama upo dar nenda corner bar utapata miujiza ya tatizo lako dude..
Huna tatizo lolote.