Nina tatizo la uume kusimama mara kwa mara?

Nina tatizo la uume kusimama mara kwa mara?

Iko kwenye AUTO mode, rudisha kwenye manual utakweza kui-control.
 
Uume wangu huwa unasimama ovyo pindi ninapoongea na msichana,hivyo kunipelekea kuwa na aibu hasa katika sherehe,JE TATIZO NI NINI?KARIBUNI WAKUU

Nyege tu zina kusumbua na domo lako zito mademu kibao au wewe mkona wa birika mbahili angalia wezako wasije kukula 0713
 
tatizi lako unapiga sana ponyeto/masterbation halafu ukiwa unaongea na msichana unalenga kudanya mapenzi.

pungeza punyeto tongoza kwa matarajio yasio ya ngono tu. tumia muda mwingi ukiwa na hao wasichana wako
 
tatizo lako unapiga sana ponyeto/masterbation halafu ukiwa unaongea na msichana unalenga kudanya mapenzi tu. usiwaze sana mgegedo kwa sababu hata ukipewa hutaweza endapo mgegedo ndio lengo kuu.

pungeza punyeto tongoza kwa matarajio yasio ya ngono tu. tumia muda mwingi ukiwa na hao wasichana wako
 
Mkuu tafuta boxer ya jeans itakusaidia itakusaidia sana
 
Uume wangu huwa unasimama ovyo pindi ninapoongea na msichana,hivyo kunipelekea kuwa na aibu hasa katika sherehe,JE TATIZO NI NINI?KARIBUNI WAKUU

Wewe ni kidume bwana weee huna tatizo lolote sema tu una hisia kali za mapenzi
 
tatizi lako unapiga sana ponyeto/masterbation halafu ukiwa unaongea na msichana unalenga kudanya mapenzi.

pungeza punyeto tongoza kwa matarajio yasio ya ngono tu. tumia muda mwingi ukiwa na hao wasichana wako

cjawahi kufanya hivyo tangu nizaliwe mkuu
 
Naombeni msaada wana JF huwa nadindisha sana.hata nikiwa kazini.najitahidi kuwa busy lkn.unakuta ngoma inasimama dede.ili tatizo dawa yake nn??
 
Hukupata hiyo makitu wakati wa ile age, sasa ukubwani kitu bado kinadai
 
Nimecheka sana, watu mna mambo!! Sipati picha huko kazini, uitwe ghafla halafu ngoma iwe imekataa.

Ni aibu sana.na km mzigo huwa nikipata napiga wa kutosha.duu hii ni kazi kweli kweli si mchezo!!
 
Ni aibu sana.na km mzigo huwa nikipata napiga wa kutosha.duu hii ni kazi kweli kweli si mchezo!!
Pole sana, nadhani unahitaji kufanya mazoezi ya kutosha ili angalau kuchosha mwili.
 
Back
Top Bottom