Nina tatizo la uume kusimama mara kwa mara?

Nina tatizo la uume kusimama mara kwa mara?

Tafuta mtoto mzuri ka.mto.mbe usiku kucha.
Mimi nina tatizo kama lako ila kuna mtoto mzuri wa kingoni amesema kesho atakuja.
 
Naombeni msaada wana JF huwa nadindisha sana.hata nikiwa kazini.najitahidi kuwa busy lkn.unakuta ngoma inasimama dede.ili tatizo dawa yake nn??
Umri wako mkuu unaweza kuwa chanzo, au huwa unaangalia sana porngraph, kama c hvyo na hauna mke basi jiandae kupata mke. Naona harufu pia ya kubaka mkuu, au unataka fusa JF? Haya kina dada kazi kwenu!
 
utafiti pitia huku umuone jamaa yako kala urojo na chapati na supu ya pweza anapata tabu!
 
Last edited by a moderator:
Naombeni msaada wana JF huwa nadindisha sana.hata nikiwa kazini.najitahidi kuwa busy lkn.unakuta ngoma inasimama dede.ili tatizo dawa yake nn??

Una mapepo! Nenda ukapate maombezi!!!!
 
Back
Top Bottom