Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Naombeni msaada wana JF huwa nadindisha sana.hata nikiwa kazini.najitahidi kuwa busy lkn.unakuta ngoma inasimama dede.ili tatizo dawa yake nn??
Acha kutamani hovyo, na punguza kufikiria kugegeda kila unapomwona mwanamke au binti mzuri