Nina tatizo la vipele vyeusi usoni

Nina tatizo la vipele vyeusi usoni

mr.sian

New Member
Joined
May 28, 2015
Posts
2
Reaction score
1
Hello,

Yaani sasa yapata mda mrefu sana nina kama vipele vipele usoni vingii na nikijaribu kuvikata vinatoa damu nyingi na vinauma sana.

Nisaidieni nitumie dawa gani.
 
Yaan sas yapata mda mrefu sana nina kama vipelevipele usoni vingiiiiii na nikijaribu kuvikata vinatoa damu nyingi na vinauma sas nisaidieni nitumie dawa gan. Hello,..

tuma picha ya sehemu ya uso yenye vidude na tutakupa ushauri kamili na wa uhakika.
 
Back
Top Bottom