M mr.sian New Member Joined May 28, 2015 Posts 2 Reaction score 1 Nov 14, 2015 #1 Hello, Yaani sasa yapata mda mrefu sana nina kama vipele vipele usoni vingii na nikijaribu kuvikata vinatoa damu nyingi na vinauma sana. Nisaidieni nitumie dawa gani.
Hello, Yaani sasa yapata mda mrefu sana nina kama vipele vipele usoni vingii na nikijaribu kuvikata vinatoa damu nyingi na vinauma sana. Nisaidieni nitumie dawa gani.
I iArmaniAdamson JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 944 Reaction score 289 Nov 15, 2015 #2 mr.sian said: Yaan sas yapata mda mrefu sana nina kama vipelevipele usoni vingiiiiii na nikijaribu kuvikata vinatoa damu nyingi na vinauma sas nisaidieni nitumie dawa gan. Hello,.. Click to expand... tuma picha ya sehemu ya uso yenye vidude na tutakupa ushauri kamili na wa uhakika.
mr.sian said: Yaan sas yapata mda mrefu sana nina kama vipelevipele usoni vingiiiiii na nikijaribu kuvikata vinatoa damu nyingi na vinauma sas nisaidieni nitumie dawa gan. Hello,.. Click to expand... tuma picha ya sehemu ya uso yenye vidude na tutakupa ushauri kamili na wa uhakika.
Ndumbayeye JF-Expert Member Joined Jan 31, 2009 Posts 7,413 Reaction score 4,020 Nov 15, 2015 #3 kama vya mramba?
M mr.sian New Member Joined May 28, 2015 Posts 2 Reaction score 1 Nov 15, 2015 Thread starter #4 Yaaah ndio vyeusivyeusi ivi