Click start nenda palipoandikwa run alafu andika msconfig pale kwenye text box ilofunguka alafu bonyeza enter. Hapo itafunguka window nyingine hapo hapo utaenda sehemu iliyoandikwa startup utaclick then hapo uta uncheck software ambazo ni unnecessary ambapo huwa zina run katika background. Kama shida itaendelea jaribu ku-uninstall sound driver alaf jaribu tena kama itadelay kuzima. Na kama utagundua sound driver ndio tatizo wakati unairudishia hakikisha hiyo driver iko asigned, ukishindwa kutambua kama driver iko asigned then conect comptr yako kwenye intrnet then itafute perfect drv yake yenyewe.